Monday, June 10, 2013

TAZAMA LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2013 HAPA

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA,ZILE TUZO ZILIZOKUWA ZIKISUBIRIWA KWA HAMU NCHINI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA SASA WASHINDI WAMESHAPATIKANA NA KUGAWIWA TUZO ZAO.WAFUATAO CHINI HAPO NI WASHIMDI WA TUZO HIZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013.
WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA


KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB

MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL

WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU

MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO


MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZI

MSANII BORA WA KIUME -TAARABU; MZEE YUSUPH

WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI

MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER

MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND

MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO

MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH

WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU

MSANII BORA ANAYECHIPUKIA-ALLY NIPISHE

MSANII BORA WA KIUME-DIAMOND

KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA-JAMBO SQUAD

MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA-MENSEN SELECTA

WIMBO BORA WA BENDI;MASHUJAA-RISASI KIDOLE

MTUNZI BORA WA MASHAHIRI -BENDI; CHARLS BABA

MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA-BENDI ;AMOROSSO

MSANII BORA WA KIKE-BENDI ;LUIZA MBUTU

MSANII BORA WA KIUME-BENDI ;CHARLS BABA

BENDI BORA YA MWAKA-MASHUJAA BAND

WIMBO BORA WA ZOUK; AMINI -NI WEWE

WIMBO BORA WA REGGAE;WARRIORS FROM THE EAST-KILIMANJARO

WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL; DABO-PREDATOR

MSANII BORA WA HIP HOP-KALA JEREMIAH

WIMBO BORA WA HIP HOP; NAY WA MITEGO-NASEMA NAO

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI;JOSE CHAMELEONE-VALUVALU

WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA;OMMY DIMPOZ ft VANESSA-ME AND YOU

WIMBO BORA WA MWAKA; KALA JEREMIAH-DEAR GOD

VIDEO BORA YA MWAKA;OMMY DIMPOZ-BAADAE

HALL OF FAME-KILIMANJARO BAND WANA NJENJE

HALL OF FAME-SALUM ABDALLAH YAZIDU

MSANII BORA WA KIKE-LADY JAY DEE

Wednesday, August 8, 2012

baadhi ya filamu za Tanzania hazifai kuangaliwa (Jenifa)

Mwigizaji mtoto mahiri katika tasnia ya filamu Swahlihood Jenifa Daudi 'Jenifa" amesema kuwa kuna baadhi ya filamu zinazotengezwa hapa nchini hazifai kuangaliwa na watoto kwasababu zinapotosha

Katie Holmes pamoja na mwanae Suri walipata majeraha

Katie Holmes pamoja na mwanae Suri walipata majeraha baada ya kugongwa na gari la taka siku ya Jumatatu aitha Tom Cruise ameonekana akiwa na mwanae mitaani kwa mara ya kwanza tangu watalakiane na mkewe Kat.

Nick Cannon apinga mkewe kuwa judge American Idol

Mume wa Mariah Carey Nick Cannon aiambia TMZ kua kama Fox wanamhitaji Mkewe kujudge American Idol inabidi mda huu wamlipe mshiko mara 2 ya mkataba wa Mwanzo

dvj PQ apitisha siku mbili bila kupiga msosi

mkali wa ku deejay dvj PQ apitisha siku mbili bila kupiga msosi wowote baada ya kumwaga keroro ya kutosha duuuhh!!!hii kali….

Ndoto za Hemedi zimeota mbawa

Ndoto kufunga pingu za maisha siku za karibuni alizokuwanazo nyota kutoka 'Bongo move' Hemed Suleiman 'PHD', zimeota mbawa kufuatia wazazi wa mlimbwende aliyetaka kumuoa kuweka ngumu

Saturday, July 21, 2012

kundi la wanadada wawili wanyamwezi toka (ARUSHA} arachuga wanadrop again

Image by Machalii.com
Effect Zero, kundi la wanadada wawili wanyamwezi toka (ARUSHA} arachuga wanadrop again na Anthem mpya "EffectZero" ikiwa ni ngoma ya hiphop inayowaelezea zaidi kama kundi kimziki